Jana tumepoteza watu 14 katika ajali iliyohusisha roli na magari mengine likiwemo basi la abiria mteremko wa Simike Mbeya. Kinachonisikitisha ni kwamba eneo hili lina askari wa usalama barabarani...
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.
Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
Baada ya Kesi iliyomkabili yeye pamoja Meya Mstaafu Boniface Jackob kuahirishwa, hadi Tarehe 04/07/2024, Jeshi la Polisi limemkamata Bwana Malissa na kuanza Safari ya kuelekea Mkoani Kilimanjaro...
Habari zenu wana JF tupo hapa kukumbushana mambo kadhaa kuhusu maswala ya uwagizwaji wa magari.
Unapotaka kuagiza gari ni vema kujua gharama za kodi linapofika bandarini itakufanya ujipime mfuko...
Raisi Samia alipokelewa kikawaida tu wakati Mfalme wa Uarabuni ndege yake ilipoingia tu Anga la Korea ilipokelewa na ndege za kijeshi na kusindikizwa Hadi ilipotua
Maskini ana mapokezi yake na...
Baada ya muda mrefu wa kukomaa na candlestick na video za YouTube rasmi nimejitoa kwenye biashara hii ya forex.
Lengo la uzi huu ni kuwakaribisha newbie kwenye hii biashara ya forex inayosadikika...
Kiungo huyo amechukua kiasi hicho cha pesa ni moja wapo ya kipengele cha mkataba wake na Azam fc kila msimu akifikisha magoli 10 na zaidi atakuwa akipata milioni 90.
kwahiyo tuseme Feisal katika...
Madame President Samia Suluhu Hassan went to the Korea-Africa heads meeting,but is it really fair for African Presidents to be summoned like children by a single head of state?It should be noted...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.