Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello! Huu ndio ukweli kuwa vijana wasomi wa Zanzibar hawana changamoto ya ukosefu wa ajira kama ilivyo vijana wa Tanganyika a.k.a bara. Vijana ombeni kibali cha ukaazi wa Zanzibar, wengine...
9 Reactions
32 Replies
599 Views
Mkuu wa wilaya ya pangani, Zainab Abdallah ambaye ni mke wa pili wa Waziri wa Maji, Juma Aweso ameelezea historia ya maisha yake kwamba mwaka 2016 aliteuliwa na aliyekuwa Rais wa awamu ya tano...
16 Reactions
154 Replies
23K Views
Friends and Our Enemies... Kama mtakumbuka hapo nyuma katika harakati za TUNDU LISU, alipopita Iringa kwenye ziara zake alishutumu vikali matumizi ya fedha za RUSHWA katika uchaguzi wao wa ndani...
8 Reactions
113 Replies
2K Views
Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania. Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam. Alianza...
6 Reactions
49 Replies
1K Views
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au...
7 Reactions
80 Replies
2K Views
Ni katika shambulio la TL Huyu mtu akibanwa vizuri ataweza maliza maswali mengi sana .
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT. A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
138K Replies
9M Views
Wakati Chadema wakipiga picha na kunywa chai kwenye Ikulu ya Chamwino iliyojengwa na Magufuli, upande mwingine aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam bwana Paul Makonda amefika kwenye balozi za...
9 Reactions
87 Replies
13K Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia Christina Shiriri (43) kwa jina maarufu Manka, mfanyabiashara na mkazi wa Usagara wilaya ya Misungwi kwa kosa la kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa...
1 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,712
Posts
49,809,791
Back
Top Bottom