Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika mazingira ya kisiasa, uwepo wa vyama vingi vya siasa ni ishara ya demokrasia na uhuru wa kisiasa. Hata hivyo, idadi kubwa ya vyama vya siasa inaweza kuleta changamoto za kiutendaji na...
1 Reactions
5 Replies
35 Views
Baada ya mgomo wa madaktari Tanzania ulioacha vifo vingi na kufanikisha maboresho mengi katika sekta ya Afya miaka kadhaa iliyopita Sasa na Walimu nao wamekuja na mgomo baridi usioonekana kwa...
13 Reactions
35 Replies
639 Views
Marekani imekuwa ikifuatilia mwenendo wa meli za kijeshi ambazo zimeonekan zikielekea upande wao kwenye visiwa vya Carribean. Haijajulikana kiuhakika meli hizo za kawaida za kijeshi na zile za...
6 Reactions
22 Replies
416 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
  • Suggestion
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo...
7 Reactions
22 Replies
304 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Pipoooooooooooozi Moja kwa moja kwenye mada. Katika kipindi hiki ambacho Main stream nyingi na Online media zimeamua kuwa Tawi la CCM nafikiri ni wakati sahihi wa chadema sasa Munatakiwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini...
2 Reactions
11 Replies
169 Views
Sijaielewa hii message, walimu naombeni mnitafsirie. Huyu dogo yupo kidato cha nne na anategemea kufanya mtihani mwaka huu.
27 Reactions
66 Replies
908 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,648
Posts
49,807,889
Back
Top Bottom