Welcome to the Real Madrid C.F. Jamii Forums thread. Keep up to date with the latest news & engage with the club and other supporters.
The club formed in 1902.
Stadium: Santiago Bernabéu...
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
Wanaukumbi.
🇮🇱🇱🇧 Hapo jana Israel walisema wanaelekea kwenye uamuzi wa kuivamia Lebanon, leo Hezbollah wamerusha roketi kwenye kituo chao na kuua na kujeruhi makumi ya wanajeshi.
Wakati huo...
Wakuu,mimi nimechoka kupiga puli,nimechoka kulala pekeangu,nimechoka kuvaa nguo za kurudia,nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee,...mtu mwenye dada au ndugu wa kike...
Kweli Dar es Salaam imejaa vituko, vitimbi na watu wenye matatizo ya akili. Hivi inawezekanaje mwanamke uliyepevuka kiakili na utimamu wa mwili unaenda kupanda usafiri wa umma(daladala au...
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25
Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
Nauza laptop my kabisa
Laptop HP laptop 17
Processor: 11th gen, Intel tm 1.5
Hard drive: Ram 476 GB
Memory: 16 GB
Location: dar es salaam
Contact: 0756523615
Price: 450,000.
Habari wadau,
Nilipokuwa Tanga, niliona mnara wa saa uliojengwa kipindi cha ukoloni wa Kijerumani (1901) na umekarabatiwa mwaka 2022 na watu watatu;
1. NGO inayoitwa Tanga Development...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.