Where We Dare To Talk Openly
Mlioko Uingereza, msaidieni huyu mama kufahamu wanawe walipo
MSAADA TUTANI: OMBI LA KUWASILIANA NA WATOTO WALIOPO UINGEREZA KWA ZAIDI YA MIAKA 22 SASA.
Picha za...
Mbunge wa Kahama Kishimba amesema 90% ya Wataalam wetu wanajua Kusoma na Kuandika lakini hawana Maarifa yoyote
Kishimba amesema mambo mengi ya maendeleo Kule chini yamekwamishwa na hao wanaojiita...
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara.
Hii ni kwa sababu...
Mikopo inawadhililisha kila kona ya nchi.
Kampuni za Microfinance zinawakopesha wanashindwa kulipa.
Wanashitakiwa kila kona na hii ni aibu kubwa kwa mwajiri wao maana inaonekana hawallipi vizuri.
Rafiki yangu mpendwa,
Kila mtu aliye hai, ambaye ana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato, anao uwezo wa kujenga utajiri kwenye maisha yake.
Ndiyo, nimesema kila mtu, hata wewe unayesoma hapa...
ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu.
Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa...
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi.
Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja...
Yupi ana fursa zaidi za kujiajiri na kuajiriwa kati ya aliyehitimu Bachelor of Science in Chemistry na aliyehitimu Bachelor of Science in Chemical and Process engineering?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.