Ndugu zangu Watanzania,
Kuna wakati nilishuhudia kwa macho yangu Mwenyewe watu wakiacha na kusimamisha kazi ili wafuatilie mijadala ya Bunge, nilishuhudia watu wakiwa vikundi vikundi vibanda...
Ni suala la muda tu kabla ya Tanzania kuingia katika klabu ya nchi zinazodaiwa zaidi Afrika na pia duniani (most indebted countries), sawa na DRC, Sierra Leone, Ghana, Angola....Argentina...
Hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi.
Ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?
Mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha...
Nimatumaini Yangu kuwa mu wazima
Mimi ni mdada, imekuwa ni mwezi sasa tangu nifahamiane na huyu kaka na kuamua kuingia nae kwenye uhusiano aliniuliza kuhusu mtoto mwanzoni nami sikumficha...
Nauza laptop my kabisa
Laptop HP laptop 17
Processor: 11th gen, Intel tm 1.5
Hard drive: Ram 476 GB
Memory: 16 GB
Location: dar es salaam
Contact: 0756523615
Price: 450,000.
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25
Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
Mara utasoma " The cute baby mama"
C.E.O wa Ze Cute Outfits za warembo
Mara "Juma aka Simba mkali"
C.E.O wa simba fanicha kunduchi"
Maana halisi na ya kawaida ya C.EO ni mtu mkuu mwenye jukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.