Marekani imekuwa ikifuatilia mwenendo wa meli za kijeshi ambazo zimeonekan zikielekea upande wao kwenye visiwa vya Carribean.
Haijajulikana kiuhakika meli hizo za kawaida za kijeshi na zile za...
Wakuu habari,
Naombeni ufafanuzi natamani nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gani inanifaa Mimi...
Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu...
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki...
Nauza laptop my kabisa
Laptop HP laptop 17
Processor: 11th gen, Intel tm 1.5
Hard drive: Ram 476 GB
Memory: 16 GB
Location: dar es salaam
Contact: 0756523615
Price: 450,000.
Wandugu,
Thread hii ni mahususi kwa chochote unachokumbuka enzi unasoma shule ya msingi.
Mimi binafsi nakumbuka enzi zile nasoma Issale primary school kule wilayani Mbulu miaka ya 1986-1991...
Akizungumza na waandishi wa habari Ikulu Dar es Salaam, Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amewaondoa wasiwasi watanzania rasilimali za nchi ziko salama kabisa, zile habari...
Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe...
Kwa mda mrefu sana Toka wakati wa chacha wangwe zitto n.k chadema kimekuwa chama rigid na kisichokubali kabisa kukosolewa hasa kupitia wafuasi wake ambao ukijaribu kukosoa utashambuliwa sana
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.