Moja ya vitu ninajivunia hapa duniani ni watu. Nina marafiki kadhaa ambao kwakweli tunarahisishiana maisha kwa kiasi kikubwa. Ni marafiki tuliojuana kwa miaka kadhaa na tunapigana tafu. Si urafiki...
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25
Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
Kumekuwa na katabia kwa vyoo vya public mtu anaingia kujisaidia hasa haja ndogo hamwagi maji kabla ya kujisaidia bali akisha maliza haja yake ndo humwaga maji. Hivi hii kiafya imekaaje
Wakuu mambo vipi poleni na majukumu yakujenga taifa nawapenyezea hii wale wapenda magari na miendo Ile drag race iliyofanyika mwaka jana pale Nyerere Bridge Kigamboni inarudiwa tena hii ni season...
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki...
Karibuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.