Jumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie.
Ukumbi haukua...
hebu tupe uzoefu, ili twende sawa zaidi.
ulikiuka miiko gani ukapigwa ban JF au nini kilisababisha ukapigwa ban?
mara ngapi umekumbana na changamoto hiyo na ni jukwaa gani hasa lilikusababisha...
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.
Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza...
NCHI 10 ZENYE AMANI ZAIDI DUNIANI
Hebu fikiria nchi kumi zaidi zenye amani duniani,unaishi katika moja ya nchi hizo, watu
wamestaharabika, hamna vurugu wala uonezi wowote unaofanywa, iwe wao kwa...
Hivi kuna mtu nyuma anaangalia kama watu kama Songesha, Nivushe na watoa mikopo kwenye simu kama hizo hela wanazokopesha wanazo keshi? Kwa picha ya fasta fasta hawa jamaa ni zaidi ya benki kuu...
Wakuu ninahitaji simu yenye uwezo wa kila kitu yani kama computer...yenye uwezo wa kufungua chatroom za java kama vile chatzone nk, yenye kuweza kufungua na kudownload miziki kutoka youtube...
Wasalaam, JF.
Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla...
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.