Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Swali hapo liko wazi Kabisa Hakunaga kifungu cha katiba kinachoruhusu Bunge kuvunjwa na kuitishwa Uchaguzi Mkuu wa wabunge? Nawasilisha Mlale Unono😂😂
0 Reactions
31 Replies
712 Views
Baada ya kutawazwa kama mabingwa wa ligi kwa mara 30 nchini Tanzania, Yanga Afrika leo tena watashuka dimbani mida ya saa 10 kamili jioni kumenyana na Dodoma Jiji. Ikumbumbwe katika mchezo wa...
9 Reactions
188 Replies
6K Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
21 Reactions
6K Replies
226K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
19 Reactions
198 Replies
7K Views
Vijana wadogo msijisumbue kujibu!!!!
0 Reactions
4 Replies
121 Views
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara. Hii ni kwa sababu...
2 Reactions
12 Replies
54 Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
21 Reactions
393 Replies
10K Views
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu...
131 Reactions
2K Replies
175K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,382
Posts
49,689,228
Back
Top Bottom