Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Tumeendelea kufuatilia ili kujua sababu hasa ya Bwana Malissa kukamatwa tena leo na kwamba eti ana kesi mpya huko Kilimanjaro. Katika machache tuliyoyapata ni kuhusika kwa Adolf Mkenda...
4 Reactions
15 Replies
369 Views
Aliyekuwa msanii wa hiphop, Mwana Fa kwenye mahojiano amesema kwamba kama sio mazishi yeye hawezi kumchangia yeyote harusi yake. "Mimi huwa sichangi harusi ya mtu, kama ni mazishi nitachanga kwa...
1 Reactions
17 Replies
190 Views
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi. Waziri Makamba...
4 Reactions
39 Replies
738 Views
Kamanda Tundu Lissu amekanusha madai yaliyotolewa hapo nyuma kidogo na Lema kwamba Mbowe ndio aliyeshika chupa ya damu wakati akipelekwa Nairobi kwa matibabu. Amesema aliyeshika chupa ya damu...
8 Reactions
60 Replies
1K Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
23 Reactions
223 Replies
3K Views
Wasalaam, Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu. Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
10 Reactions
80 Replies
2K Views
Kylian Mbappe kapotea kujiunga na Madrid kwakuwa sioni nafasi yake ya kucheza na je ni kwa namna gani atavunja utawala wa Vini jr
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Nimekuwa nikifuatilia mtifuano wa kipropoganda kwenye mitandao kwa sasa mashambukizi ya CCM yako vizuri asilimia 60 mara Msigwa alibeba chupa ya damu ya Lissu,mara Lissu anaanzisha chama kipya na...
0 Reactions
4 Replies
5 Views
  • Suggestion
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo...
8 Reactions
24 Replies
338 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,778
Posts
49,811,094
Back
Top Bottom