Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Korea Kusini imesaini mikataba 50 ya biashara,mikopo na sekta za Rasilimali na Nchi za Afrika ikiwemo Tanzania.
Rais wa Korea amesema anaendesha sera ya ushirikiano wenye faida kwa.pande Mbili...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu...
Marekani imekuwa ikifuatilia mwenendo wa meli za kijeshi ambazo zimeonekan zikielekea upande wao kwenye visiwa vya Carribean.
Haijajulikana kiuhakika meli hizo za kawaida za kijeshi na zile za...
Habari yako mhe. Tundu Lisu?
Nina imani huko ulipo umzima wa afya wewe na familia yako, hivyo wengi ndio furaha yetu sisi tunaopenda kuona kila binadam yuko salama, mzima na mwenye afya njema...
Wengi wanapo enda kuoa vigezo wanavyo zingatia ni pamoja na : Mwanamke mwenye tabia nzuri, Mcha Mungu, Mwenye heshima, Adabu na nidhamu. Mkweli, Mwaminifu, Mtiifu, mvumilivu, mwenye akili ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna wakati nilishuhudia kwa macho yangu Mwenyewe watu wakiacha na kusimamisha kazi ili wafuatilie mijadala ya Bunge, nilishuhudia watu wakiwa vikundi vikundi vibanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.