Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi. Waziri Makamba...
5 Reactions
61 Replies
1K Views
Wakuu salama? Nadhani mmeona mkeka wa mama, Zuhura Yunus kashushwa kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu mpaka kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu)...
0 Reactions
14 Replies
15 Views
Ukihitaji salamu subiri kwanza FaizaFoxy anikubalie ombi langu,tofauti na hapo utaambulia gunzi ukapikie Mapupu! Sometimes huwa nawashangaa baadhi ya wanaume kumtupia lawama kijana Harmonize...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
Rafiki yangu mpendwa, Utajiri ni kitu kizuri sana kwenye maisha. Hiyo ni kwa sababu utajiri unatuweka huru, kwa kutuwezesha kuyaishi maisha yetu vile tunavyotaka. Kitu kimoja ambacho watu wengi...
0 Reactions
3 Replies
111 Views
Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali.
8 Reactions
47 Replies
585 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
4 Reactions
211 Replies
4K Views
Huu hapa ni Mkutano wa hadhara kwenye Kijiji cha Kinyeto, Jimbo la Singida Kaskazini, uliofanyika leo saa 3 asubuhi .Ikumbukwe kwamba Lissu amekwisha toa angalizo la kufuatiliwa na kikundi cha...
13 Reactions
47 Replies
726 Views
Wakuu nimechoka toka jana sijalala... Nahisi kuchanganyikiwa... Nahisi maluwe luwe . Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu... Nimechoka sasa nimechoka. Kama mbwai iwe mbwai tuu...
8 Reactions
101 Replies
1K Views
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25 Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
16 Reactions
67 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,806
Posts
49,811,932
Back
Top Bottom