Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mahakama ya uhalifu wa kivita yenye makao yake makuu The Hague nchini Uholanzi imetoa hati ya kukamatwa kwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na waziri wake wa usalama Yoav Gallant kwa...
3 Reactions
15 Replies
415 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo...
53 Reactions
466 Replies
32K Views
Ndugu zangu watanzania, Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya...
4 Reactions
107 Replies
1K Views
Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa...
2 Reactions
12 Replies
190 Views
Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji. Hii ni kutokana na siasa...
3 Reactions
39 Replies
691 Views
Hawa wakopeshaji hutakuja kukutana nao ana kwa ana. Nilikopa kwa shida na nikajutia kukopeshwa. Swali langu je kwa kuwa wanataarifa zangu kama nakala katika picha yangu na Nida yangu je hawawezi...
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Kama ilivyoshindwa mambo mengi, kufikia hadi kuuza Bandari basi ni vema sasa kurejesha tena usafiri wa Daladala kama ilivyokuwa awali Kutoka Kariako hadi Mbezi kupitia Kimara. Hii ni kwa sababu...
2 Reactions
6 Replies
54 Views
VITU VITATU AMBAVYO LAZIMA UVIPATE ILA IKITOKEA HUJAVIPATA USILAZIMISHE, JIPE MUDA Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA SUBSCRIBE CHANEL YANGU UPATE MAMBO MENGI ZAIDI👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽 Comrade...
0 Reactions
1 Replies
21 Views
Pamoja na Zanzibar kuwa kivutio kupanda aboti kwenda Zanzibar no kama unaelekea porini. Hapo passenger terminal ni uchafu mtupu. Ukizubaa unaibiwa
0 Reactions
1 Replies
5 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,370
Posts
49,689,093
Back
Top Bottom