Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huu ni ushahidi mwingine kuwa umri ni namba tu kwenye mapenzi na kuzaa ni mipango na baraka za Mungu. Bibi mwenye umri wa miaka 63, Cheryl na Mume wake Quran McCain mwenye umri wa miaka 26...
1 Reactions
22 Replies
162 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
6 Reactions
87 Replies
608 Views
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya...
0 Reactions
6 Replies
73 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Special cases mtu aende form 6 Bado ni mdogo sana kiumri Hakuna uwezo wa kumlipia ada Kutaka kuwa mwalimu, Kwenda chuo kuna faida zifuatazo UWANJA MPANA WA KUPATA AJIRA - form 4>>chuo wana...
2 Reactions
4 Replies
46 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mungu ibariki Israel Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90) IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close...
1 Reactions
55 Replies
1K Views
Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania. Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam. Alianza...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Habari wana JamiiForums, napenda kuiomba Serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja). Kumekuwa na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa...
2 Reactions
13 Replies
105 Views
"If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”
24 Reactions
83 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,473
Posts
49,803,066
Back
Top Bottom