Full name: Manchester City Football Club
Nickname(s): The Citizens, The Blues, The Sky Blues
Founded: In 1880 as St. Mark's (West Gorton), became Ardwick Association Football Club in 1887 and...
Mada imejieleza wakuu.
Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa.
Kwa sasa anaonekana amesha pata...
Habari,
Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba
Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt.
0617146950
AKILI KUBWA:
1. Usiwabeze wenye akili ndogo bali wasifie ili kuwafurahisha.
2. Wasaidie watu wengine ila hakikisha unaneemeka na misaada hiyo.
3. Fanya mambo makubwa kwa lengo la kuinufaisha...
Good evening members.
Njia gani bora ya kuishi katika maisha ya ndoa ya mitala bila pressure na amani.
Njemba ina pesa nyumba sio shida lakini haiwezi mke mmoja na inahudhuria kwenye small house...
Wakuu GT.. nawasalimia sana.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
1. Utangulizi
Hapana shaka kuwa kiwango cha maendeleo ya nchi au bara hutegemea ubora wa raslimali watu katika nchi/bara husika...
Wakuu,
Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.
Mimi...
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.