Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).
Video ya tangazo la jaribio la...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
Club ya Real Madrid ya Hispania imetangaza rasmi kuwa imefikia makubaliano ya kumsajili Kylian Mbappe kwa mkataba wa miaka mitano.
Mbappe anajiunga na Real Madrid baada ya kucheza PSG kwa miaka...
Mbaya zaidi anajikuna halafu bila aibu anaenda kukuletea chakula na kulishika bakuli la mboga.
Inatia kinyaa sana. Na hii tabia inatakiwa kupigwa stop.
Tunaomba tujue kwani tasisi zote za kibenki ukingia kwenye mfumo unakuta application number ya mkopo ambayo inakuwezesha kusettle deni lako lakini hawa maboto uhuni gani ulitumiaka mpaka hazina...
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.