Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
10 Reactions
265 Replies
3K Views
Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao? Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?
2 Reactions
6 Replies
53 Views
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake. Nitaleta update zaidi. Wanawake kuweni sana makini...
19 Reactions
220 Replies
5K Views
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
8 Reactions
50 Replies
1K Views
Wakuu Magonjwa ya kuambukizwa -Magonjwa yanayosababishwa na vimelea kama virus,bakteria na fungus. Magonjwa yasiyoambukiza -magonjwa ambayo hayahusishi vimelea fulan kama kisukar pressure...
0 Reactions
13 Replies
158 Views
Habari wadau, poleni na majukumu yenu. Samahani naomba mnishauri katika jambo lifuatalo. Mimi ni graduate katika fani fani ya Mazingira. Nimeshasota sana mtaani pasipo kuwa na kibarua au ajira kwa...
3 Reactions
2 Replies
63 Views
Directly, single Maza wengi ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili kwa watoto kutokana na kwamba maisha wanayoishi niyakihunihuni unakuta single maza anadate wanaume tofauti tofauti . Mtoto hua...
1 Reactions
8 Replies
56 Views
Maeneo mengi ya Dar es Salaam sasa yametawaliwa na machine za kukanda chapati na majiko ya kukaanga mihogo pembezoni mwa barabara hasa mida ya jioni Na kuna wengine wanakaanga mihogo chini ya...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
2 Reactions
5 Replies
61 Views
1) Samaki hupata huzuni/msongo wa mawazo (depression) kama apatavyo binadamu 2) Kuna Samaki wanaishi zaidi ya miaka 70 ila yupo aliyeishi miaka 112 anaitwa Bigmouth buffalo 3) Kibaolojia kuna...
17 Reactions
84 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,306
Posts
49,687,466
Back
Top Bottom