Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu,
Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri...
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.
Anyone who is...
Ukatili wa majumbani huwa hususani kwa wanawake ila pia sasa kuna tatizo la unyanyasaji kwa wanaume ni tatizo kubwa lakini mara nyingi halionekani, hasa kwa sababu ya jinsi wanavyokuwa wanaonekana...
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again
Wakuu ama kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa...
Jumuiya ya Maendeleo ya nchini za Kusini mwa Afrika (SADC), imetangaza kuwa vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo vitafanya mashambulizi, kwa ushirikiano na vikosi vya serikali, ili...
Kuna taarifa ya ajali ambapo inasemekana lori lomeigonga Coaster iliyotokea Tunduma kuja Mbeya eneo la Simike. Mchana huu.
Inasemekana kuna vifo kadhaa.
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.