Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini..
Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot..
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza...
Ndugu zangu watanzania,
Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame...
Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu.
Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.