Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
15 Reactions
50 Replies
650 Views
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
5 Reactions
43 Replies
264 Views
Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Hossein Salami ametangaza Israel isubiri jibu baada ya mauaji ya mshauri wao wa kijeshi nchini Syria Saeed Abyar...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mchungaji Masanja au Mchungaji Irene?
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Ni mengi yanapita kwenye huu uhusiano, najitahidi kufanya kazi kwa bidii kuimprove standard lakini mwandani wangu ni kama kwake ni tofauti. Mara nyingi kwenye mikusanyiko ya umma ni kama anaona...
39 Reactions
129 Replies
5K Views
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
17 Reactions
119 Replies
1K Views
Kuna Kungwi mmoja ametushauri wanaume eti tunapo gegenda tuwe tunatoa japo miguno, kwasababu inawaamsha sana wadada. Sasa kwenye hizi Nyumba za kupanga itakuwaje? Akina dada hebu watuambie...
1 Reactions
22 Replies
217 Views
Kuna baadhi ya walimu kati shule kadhaa hawataki kabisa kusikia wanafunzi wao wanaenda kusoma tuisheni kipindi Cha likizo wakidai kwamba zinapoteza na kuvuruga uelewa wa kile alichowafundisha...
1 Reactions
2 Replies
7 Views
Unasoma shangwe na vigelegele kila mahali, kuwa sasa chadema kwisha! Sijui kama hili chadema mnaliona! haya mambo yanaua matumaii ya watanzania waliyokuwa na yo na chadema
0 Reactions
3 Replies
5 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo. Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo...
1 Reactions
6 Replies
69 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,498
Posts
49,803,949
Back
Top Bottom