Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu watanzania, Ajali Mbaya sana imetokea mkoani Mbeya na kuuwa watu na majeruhi zaidi ya 17. Ni ajali Mbaya sana iliyotokea eneo la Nzovwe baada ya Loli kuonekana kufeli breki na...
0 Reactions
6 Replies
117 Views
Urefu wngu, Sentimita 185 Haya mambo nilikuwa nayachukulia poa sana nilidhani ni kawaida kwa kila mtu ila nimekuja kuyajua baadae sana - Wale vibaka wa kumendea kuiba simu sijawai kusogelewa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar. ---...
3 Reactions
44 Replies
839 Views
Mada za kuwasema Single Mother zimekuwa nyingi sana ila watu hawajui kuwa Wanaume wenye watoto ambao washatengana na wenza wao ni Pipa na mfuniko na Masingle Mother hawana tofauti ni kitu kimoja...
9 Reactions
26 Replies
683 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA, Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe, Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao 1. Zitto Zuberi...
6 Reactions
98 Replies
1K Views
Kwanza picha linaanza Ile style yake ya mbuzi kagoma lahaula nusu nimwage ubongo wakuu nikajikuta nalia huku nauma meno wigi la nywele lake aisee huyu binti ni mnoma Sana aisee na kwenye kukatika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu salama, Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka. Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu...
9 Reactions
55 Replies
415 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,860,439
Posts
49,802,251
Back
Top Bottom