Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Habari wana jamiiforum, napenda kuiomba serikali kufuatilia kero na kelele inayosumbua sana maeneo ya (Kahama/Lugera/Mnazi mmoja) kumekua na makanisa mengi maeneo hayo, lakini kuna kanisa ambalo...
Ndugu zangu watanzania,
Ajali Mbaya sana imetokea mkoani Mbeya na kuuwa watu na majeruhi zaidi ya 17. Ni ajali Mbaya sana iliyotokea eneo la Nzovwe baada ya Loli kuonekana kufeli breki na...
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
Msimu wa Ligi kuu ya NBCPL ulitamatika mwishoni mwa mwezi wa 5, 2024 na Yanga ndiyo alikuwa Bingwa Tuambie mambo gani yalikuvutia zaidi katika msimu huo?
Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1:Iphone kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.