Mjanja M1 naelekea kuiacha hii biashara ya miamala maana naona mazoea yamezidi kila uchwao, walianza Tigopesa kupunguza asilimia 10% kwenye miamala na sasaivi Airtel wamefuata huo Utoto.
Yani...
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
Kwema wakuu kuna kitu kinanitesa sana ni kuhusu muonekano wangu
Mimi sio mrefu kama wanawake wanavyopenda wanaume warefu nina 168cm ila kusema ukweli nina Muonekano mzuri saana yaani mimi...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ambaye yuko Mkoani Singida kwa ajili ya Mikutano ya Kijiji kwa Kijiji, ametangaza hadharani kwamba, kuna watu...
Good evening members.
Njia gani bora ya kuishi katika maisha ya ndoa ya mitala bila pressure na amani.
Njemba ina pesa nyumba sio shida lakini haiwezi mke mmoja na inahudhuria kwenye small house...
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1:Iphone kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa...
Habari ya majukumu wakuu. leo nataka tuzungumzie suala hili kidogo kwani nimekua nikipata maswali juu ya suala hili kwa watu kadhaa kutoka hapa JF. Wengi wamekua wakiuliza namna ya kuwatoa baadhi...
Wasalaam,
Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.
Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa
kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.