Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea kuimarisha operesheni zake dhidi ya uhalifu na wahalifu. Operesheni hizo zimepata mafanikio makubwa ikiwemo kuwakamata watuhumiwa watano wa matukio ya...
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
Mwaka 2010, nilienda na rafiki yangu nyumbani kwao Usukumani. Nilishangaa nilipoamkiwa "shikamoo" na dada yake ambaye alionekana wazi anaweza akawa mkubwa kwangu. Ndivyo alivyoniamkia na ndivyo...
James Mbowe amesema Demokrasia ya Chadema ni kubwa sana ndio sababu mchungaji Msigwa ameweza kuwaita Waandishi wa Habari na kuwashutumu viongozi wenzake bila kuwa na ushahidi wowote
Mbowe amesema...
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza.
Cha kushangaza Tanzania...
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar.
Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine.
Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.