Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again Wakuu ana kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa...
4 Reactions
15 Replies
273 Views
Morning members. Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi. Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
14 Reactions
171 Replies
2K Views
Hello hello hellooooooo. Mko salama jamani😉😉 Leo ni birthday ya Chakorii. Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶 Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳 Huhuhuuuu🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️ 🥂🥂🥂🥂
12 Reactions
42 Replies
241 Views
Tarehe 23.10.2014 Mheshimiwa Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alitunukiwa shahada ya heshma ya Uprofesa na Chuo kikuu Cha kilimo China. Huyu anastahili kuwa addressed Kama Professor Jakaya...
2 Reactions
15 Replies
336 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
45 Reactions
172 Replies
7K Views
Makonda anateuliwa kwa lazima fulani lakini huwa mambo hayo yana mwisho wake. Ana makosa flani anafanya kila wakati tangu alipokuwa RC Dar na ameendelea kuyafanya siku zote. Kitendo cha kuingia...
24 Reactions
73 Replies
4K Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
42 Reactions
137 Replies
3K Views
Kuchangia viongozi ni utamaduni wetu, sasa tunamchangia Lissu gari, na hata Mwalimu Nyerere pia alichangiwa fedha na wananchi ili aende Umoja wa Mataifa kupigania uhuru wa Tanganyika. Kuchangia...
2 Reactions
5 Replies
84 Views
Najiuliza maana ya upendo nini? Mpaka uwe na kingi ndio ushee? Au pesa kipindi michango ya sherehe? Au mzazi anayetamani mtoto uendelee? Ndio maana anakulea ile umlee Inasadikika kuwa upendo wa...
0 Reactions
13 Replies
88 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,298
Posts
49,797,908
Back
Top Bottom