Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali...
7 Reactions
59 Replies
728 Views
Watu wa Soka, Umofia kwenu. Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama...
15 Reactions
60 Replies
1K Views
Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu! Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka https://x.com/i/status/1793231455981805944 na baada ya kuwa na madaraka...
0 Reactions
9 Replies
244 Views
I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na...
0 Reactions
3 Replies
32 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Kwa wale wapenzi wa game za mpira kwenye pc karibuni tujumuikeni hapa hasa kwa wale wa pc na hata console pia sio mbaya. Lengo ni kupeana mambo kama yafuatayo-: Latest patch (update...
20 Reactions
1K Replies
135K Views
Kama kampuni ni yako mwenyewe au umeajiliwa tu aisee kuwa makini sana. Watu hawa ni wepesi sana kwenda kwa sangoma. Yani ni chap tu kama anaenda sokoni. Huko ni mwendo wa kuosha nyota na...
4 Reactions
5 Replies
136 Views
Akisha vunja ungo she will become a stranger to you. Utabaki unashangaa na kujiuliza, hivi huyu ndio binti yangu yule yule alie kuwaga ananisikiliza na kunitii kwa kila jambo alipokuwa na miaka...
65 Reactions
172 Replies
10K Views
Wadau hamjamboni nyote Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda anaelekea Wilaya ya Longido katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kusikiliza kero za wananchi. Ziara...
1 Reactions
8 Replies
213 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
400 Replies
24K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,279
Posts
49,686,592
Back
Top Bottom