Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Anyways turudi kwenye swala la msingi bhna ndugu zangu wahenga waliposema ukistaajabu ya musa waliona mbali. Si kuna danga nikalipata bana, tulikuatana tu kweye family event( walilelewa pamoja na...
30 Reactions
309 Replies
29K Views
Benki ya 'Access Microfinance Bank Tanzania (AMBT)' yenye makao makuu yake nchini Nigeria imeuzwa kwa kampuni ya kitanzania ya Selcom kama mwanahisa mkubwa zaidi na sasa itajulikana kama 'Selcom...
2 Reactions
15 Replies
365 Views
Asalam aleykum...twende kwenye mada Kusali jumapili Amri ya Nne inasema kwamba siku ya kuabudu ni ya 7 ni Sabato. Wakatoliki wanaita hii amri ya Tatu kwa sababu waliifuta Amri ya Pili...
9 Reactions
292 Replies
10K Views
Niaje wadau. Long time. Mimi mzima kabisa. Mengi yamebadilika since last time I posted here. Anyways tuende direct kwenye mada. Wiki chache zilizopita nilikutana na mkaka hivi mitaa ya kwetu...
25 Reactions
318 Replies
16K Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
13 Reactions
47 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi...
7 Reactions
147 Replies
7K Views
Hii picha imenichekesha sana 🤣. Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana? Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
30 Reactions
119 Replies
3K Views
Hiki anachokifanya hapa Tabora kimesababisha nitoke nje kabisa ya uwanja. Siwezi kuendelea kuangalia Mechi inayochezwshwa kama Chandimu. Goli la Kwanza la JKT limetokana na double offside, lakini...
10 Reactions
25 Replies
655 Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
39 Reactions
131 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,287
Posts
49,797,593
Back
Top Bottom