Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa...
Wakuu ninashida na Godoro, kama kuna mtu atakuwa na godoro la ziada kwake ambalo alitumii naomba anisaidie.
Hata like chakavu litafaa hivyohivyo kwa muda huu mhitaji anahitaji apate msingi wa...
Ni kweli bado hakijaeleweka. Kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chama bado hajamwaga saini ya kuendelea kubali Simba baada ya mabosi wa Msimbazi kushindwa kumtekelezea mahitaji aliyowasilisha...
Kutakuwa na mawasilisho ya maoni kutoka kwa makundi mbalimbali ya kijamii na mjadala wa wazi
Mada za Utangulizi
1. Prof. Issa Shivji: Tanzania @ 60
2. Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania ya 2050...
Juma Athumani Kapuya. mwanasiasa toka Tbora aliyefikia ngazi ya juu ya siasa kwa kuwa Mbunge wa Urambo, Waziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, na Professor wa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuanzia sasa hadi Januari 1, 2025 atakuwa amekamilisha kazi ya kuwanyoosha watumishi wa umma wasiokuwa wazalendo na wanaotanguliza masilahi yao...
Habari ya asubuhi.
Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share
Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
Kampuni ya Mbeya Cemetent Kwa mara ya kwanza imetangaza kutoa Gawio kwa wana hisa wake ikiwemo Serikali na NSSF kufuatia kuanza kupata faida ,hii ni baada ya hasara ya miaka 10 mfululizo.
Hatua...
Mdau wa Maendeleo jina linahifadhiwa amependekeza Kwa Serikali kuweka passport Kwa Vijana wote ambao wamekuwa wanakimbia Jijini Dar kutoka huko Mikoani.
Bwana mdau anasema Uzalishaji umeshuka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.