Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
1 Reactions
3 Replies
14 Views
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
14 Reactions
58 Replies
2K Views
Najiuliza maana ya upendo nini? Mpaka uwe na kingi ndio ushee? Au pesa kipindi michango ya sherehe? Au mzazi anayetamani mtoto uendelee? Ndio maana anakulea ile umlee Inasadikika kuwa upendo wa...
0 Reactions
7 Replies
61 Views
TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba...
22 Reactions
72 Replies
2K Views
Mwambie mkeo umeandikisha jina la mtoto wenu kwenye hati ya kiwanja na nyumba Reaction yake rudi kwa mrejesho.
0 Reactions
14 Replies
297 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka , nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X kama inavyooneka hapo chini.
9 Reactions
74 Replies
2K Views
Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
4 Reactions
96 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi. Nimekutana na hiki kibonzo mtandaoni nikasema acha ni share Wanaume wengi sasa wanalalamika wanawake wamekua na elements za u-masculine au wanaonesha ungangari lakini mnajua...
11 Reactions
47 Replies
579 Views
Habari Mabibi na Mabwana. Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kero, Kero hii inihusiana na usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza ( kwa Lulenge hadi Kanisani). Hapo awali usafiri wa...
3 Reactions
20 Replies
276 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,296
Posts
49,797,806
Back
Top Bottom