Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini. Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
43 Reactions
142 Replies
4K Views
Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka. Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021. Kongole Mama yetu, tunakupenda sana...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza. Cha kushangaza Tanzania...
8 Reactions
43 Replies
633 Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
7 Reactions
119 Replies
2K Views
Hello hello hellooooooo. Mko salama jamani😉😉 Leo ni birthday ya Chakorii. Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶 Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳 Huhuhuuuu🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️ 🥂🥂🥂🥂
13 Reactions
44 Replies
321 Views
Mwaka 2010, nilienda na rafiki yangu nyumbani kwao Usukumani. Nilishangaa nilipoamkiwa "shikamoo" na dada yake ambaye alionekana wazi anaweza akawa mkubwa kwangu. Ndivyo alivyoniamkia na ndivyo...
1 Reactions
12 Replies
291 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
75K Views
Kama kuna Lugha ambayo si tu kwamba ni Tamu ila pia Ninaipenda na inaelezea Utanzania wangu halisi ni ya Kiswahili.
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na...
4 Reactions
36 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,304
Posts
49,798,089
Back
Top Bottom