Wataamu wa Uchumi Kenya wameonya Serikali dhidi ya Madhara ya Kupitisha mswaada wa kulinda jamii unaopiga marufuku masuala ya ushoga wakisema italeta Madhara kwenye uchumi,siasa na jamii ilhali...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
DIZASTA NI MDOGO WA DAMU WA KING CRAZY GK ALIYECHAGUA KURAFIKIANA NA PROFESSOR JAY NA MR EBBO KATIKA MAKUZI YAKE.
1. Wawili hawa wana asili ya mkoa wa Mbeya lakini wamesikika zaidi wakiwakilisha...
Ni kilio kilichokuwa kikitutesa wengi kwa muda mrefu, yani kupata kadeti original ilikuwa ni shughuli pevu, tushapigwa za uso mara kadhaa kununua kadeti za elf 40 tukidanganywaa kwamba ni...
Hapa tutakuwa tunatoa documents (nyaraka) mbalimbali za kisheria ambazo mtu atahitaji kama vile case laws, hasa ambazo ni unreported, legislations, law books n.k.
Binafsi nina e-library kubwa...
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu.
Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.