Pamoja na yote yanayo semwa juu ya CHADEMA bado Peter Msigwa ni mnufaika kinara wa CHADEMA Jimbo la Iringa ( T )
Huenda Mch Peter Msingwa ndio mwanasiasa toka Upinzani atakayetangazwa mapema...
Habari wanajamvi
Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu
Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
NIGERIA: Vyama na Umoja wa Wafanyakazi vimetangaza kusitisha Mgomo ulioanza Juni 3 baada ya Serikali kufanya mabadiliko kidogo ya Kima cha Chini cha Mishahara kutoka Tsh. 52,200 hadi Tsh. 104,400...
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha.
Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
Ukiwa unauza Kiwanja, Nyumba, Gari ama pikipiki n.k ndani ya Jiji la Dodoma
Basi usisite kunitafuta ili tutafute wateja kama una bidhaa pia nitumie kwenye namba hizi
CALL AND WASAP 0785076070...
Na Bollen Ngetti
0683 226539
B-pepe bollenngeti@gmail.com
SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
Nakumbuka wakati wa Ujenzi wa barabara ya Makambako Songea wale wakandarasi waliiba sana Madini Wakijifanya wanaenda kutafuta Miamba ya kokoto Maporini
Sema tu viongozi wa wakati Walikuwa makini...
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
Wakuu habari za muda huu,
Kwa wale wajuzi wa simu naombeni mnipatie muongozo wa aina gani ya simu ninunue kwa bajeti ya 300,000/- mpya/used.
Vipaumbele vyangu ni;
1. Battery nzuri at least...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.