Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE”
JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za...
Kitumbua cha buku sehemu ya kwanza
STORY NA: Mbogo Edgar
Kijana Prosper alikuwa amejilaza kwenye mkeka, askipunga upepo wa na kufaidi kimvuri cha mti wa mwembe dodo mkubwa sana, uliopo pembeni...
Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini.
Kuna mambo machache serikali...
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9.
Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.