Waziri wa Fedha Dr Mwigullu amesema chini ya uongozi wake kama Waziri kamwe hatakubali mfanyabiashara aondoke na Kodi ya Serikali, atamkamata
Mwigullu amesisitiza haiwezekani kufukuzana na...
Naagiza simu original China kama unataka kuagiza karibu (06877446471)
Kama kuna yeyote anatamani kuagiza simu kutoka China. Simu original karibu uagize namimi.
Namba zangu za simu ni 0687746471...
Tena natamani sana wana Simba SC Wenzangu wangeingia katika Mawazo yangu ya kutaka tuwe nafasi ya Tatu ili twende Kombe la Shirikisho ( kama litakuwepo ) ili taratibu tunapoanza Kukijenga Kikosi...
Kwa mnamjua penina ana grocery hapo goba center pembeni ya baa ya trinnidad...kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake...
Nitaleta update zaidi..!
Wanawake kuweni sana...
Kama kampuni ni yako mwenyewe au umeajiliwa tu aisee kuwa makini sana.
Watu hawa ni wepesi sana kwenda kwa sangoma.
Yani ni chap tu kama anaenda sokoni.
Huko ni mwendo wa kuosha nyota na...
Wachungaji na wanasiasa kuomba waumini au wananchi wawachangie kununua vitu kama mfano magari au kuwachangia kufanikisha safari zao za kwenda Ziarani nje ambazo nyingine ni mapumzikoni tu .
Au...
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ni kuwa ndugu Lissu anatarajia kuondoka na kuihama CHADEMA muda wowote kuanzia sasa.hii ni baada ya kutoridhika na mwenendo na aina ya siasa zinazoendeshwa na ndugu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.