Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza kujenga Bandari ya Uvuvi ya Bagamoyo Kwa kushirikiana na Korea Kusini ambayo itagharimu Dola Milioni 156.5 ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 400 za...
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
Hii timu huwa inanishangaza sana.
Jana Fredy Michael kawa mfungaji bora wa Ligi kuu Zambia licha ya kutokuwepo huko kwa miezi kadhaa.
Saido mwaka jaba aliibuka mfungaji bora NBC PL akagawana...
SI MBAYA KUULIZAAAA
NIMEWAZAA TU KAMAAA HAYA MAKAMPUNI YA SIMU YANAKOPWA NA JESCA AMA BETTY
GAFLAAAAAA MM NATUMIWA MSG NA HAYA MAKAMPUNI YA KUKOPAAAA ATI NDUGU AMA MFADHILI WA BETTY UNAOMBWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.