Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niwape story kidogo,Mimi napenda sana wanaume wanaovutia, uyu mwanaume nilimpenda mwenyewe!!!! Kuna sehemu tulikua tunakutana kila siku ni sehemu ambayo Mimi nilikua nafanyia kazi, sasa kwenye iyo...
25 Reactions
80 Replies
2K Views
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
6 Reactions
90 Replies
570 Views
katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo. Mchungaji...
2 Reactions
15 Replies
103 Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe M Maranja Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi Chadema ilivyosheheni wahuni Chonde...
7 Reactions
64 Replies
828 Views
Wajibu mkuu wa Spika wa bunge ndani ya bunge ni kuwa msimamizi "moderator" wa mjadala. Ni jambo la kushanga na kituko kuona spika wa bunge katika bunge anachukua upande mmojawapo katika midahalo...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa. Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na...
6 Reactions
53 Replies
396 Views
Habarini wana JF. Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa...
17 Reactions
221 Replies
23K Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
9 Reactions
123 Replies
3K Views
Kama kuna Lugha ambayo si tu kwamba ni Tamu ila pia Ninaipenda na inaelezea Utanzania wangu halisi ni ya Kiswahili.
3 Reactions
7 Replies
164 Views
Sasa nimeamini kuwa misemo ya wahenga ilikuwa inafanyiwa utafiti kabla ya kuidhinishwa. Kwa nini kwa muda wa miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu 2025 kumekuwa na kampeni kubwa kumtangaza "mama"...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,323
Posts
49,798,726
Back
Top Bottom