Hello hello hellooooooo.
Mko salama jamani😉😉
Leo ni birthday ya Chakorii.
Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶
Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳
Huhuhuuuu🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
🥂🥂🥂🥂
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Ni engineer Léonard Shayo ambaye pia ni fundi mitambo wa Azam Media, amefanikiwa kutengeneza satelaiti mahususi kwa ajili ya kukusanya taarifa za hali...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Wakuu ninashida na Godoro, kama kuna mtu atakuwa na godoro la ziada kwake ambalo alitumii naomba anisaidie.
Hata like chakavu litafaa hivyohivyo kwa muda huu mhitaji anahitaji apate msingi wa...
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo:
1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
Habari Wana JF, walioapply ajira mpya za magereza tayari majina yenu yametoka.
Vijana mliochaguliwa mnatakiwa kuhudhuria mafunzo ya uaskari magereza katika Chuo cha Magereza Kiwira,kiliochopo...
1. Waarabu wa familia ya kifalme Dubai, (DP WORLD) wamepewa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kwa mikataba ya kiduanzi unaotajwa miaka thelathini
2. Waarabu wa familia ya kifalme ya Dubai (Blue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.