Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi. Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio sha togwa! Kiwanda cha...
11 Reactions
31 Replies
590 Views
Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Kuchangia viongozi ni utamaduni wetu, sasa tunamchangia Lissu gari, na hata Mwalimu Nyerere pia alichangiwa fedha na wananchi ili aende Umoja wa Mataifa kupigania uhuru wa Tanganyika. Kuchangia...
2 Reactions
9 Replies
104 Views
Mimi ni mmoja wa wanaonunua mkaa kwa kupimiwa lkn kila nitakapoenda nakuta makopo yao yamekandamizwa katikati ni kwanini?
1 Reactions
9 Replies
96 Views
Nawakumbusha: Unaponunua gari daima ni bora kwenda kwa muuzaji na kununua gari jipya kabisa. Lakini ikiwa hutaweza kununua gari mpya kabisa, basi upate moja bila wamiliki wengi wa zamani, mara tu...
1 Reactions
6 Replies
169 Views
Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
33 Reactions
19K Replies
755K Views
Inatia hasira. Wana fedha kaeni mkijadiri iweje jero ya kiwe 10elf ya bongo. This is not right
3 Reactions
15 Replies
444 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
TANESCO mbona hamtoi taarifa kwa wateja tukajua. Najaribu kuweka umeme toka saa 12 jioni hadi muda huu unagoma. Toeni basi taarifa kama kuna shida tujue na kama ipo mseme mnashughulikia hadi lini...
0 Reactions
4 Replies
115 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
1 Reactions
25 Replies
437 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,300
Posts
49,797,956
Back
Top Bottom