Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi. Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio sha togwa! Kiwanda cha...
6 Reactions
15 Replies
171 Views
A
Anonymous
Wana jamvi, Naandika kutoka shule ya msingi Mugundu ilioko mkoa wa Singida,wilaya ya Iramba,tarafa ya kinampanda,kata ya Kyengege. Tuna shida ya uongozi wa shule alihamishwa mwl mkuu Sebastian...
0 Reactions
8 Replies
329 Views
Mbaya zaidi anajikuna katikati ya mfereji. Alafu bila aibu anaenda kukuletea chakula na kulishika bakuli la mboga. Inatia kinyaa sana. Na hii tabia inatakiwa kupigwa stop.
3 Reactions
9 Replies
97 Views
Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
3 Reactions
55 Replies
649 Views
Kuna zoezi la ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo karibu na kituo cha Mwendokasi Msimbazi B, zoezi hilo linaloendelea linafanyika bila uwepo wa kizuizi chochote kulingana na madhari ya...
2 Reactions
8 Replies
118 Views
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again Wakuu ana kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa...
1 Reactions
5 Replies
87 Views
Habari wakuu Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
16 Reactions
246 Replies
4K Views
Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya...
12 Reactions
36 Replies
469 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,259
Posts
49,796,644
Back
Top Bottom