Habari ZENU,
Mimi nilivyomaliza shule ya Msingi nilipelekwa Lushoto, huko sikusoma form one ilikuwa direct form two na kaka angu mtoto wa ba mkubwa ndie alikuwa ananisimamia kusema nina akili...
Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume.
Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali.
Mgonjwa yupo Morogoro.
Daktari nguli toka Zambia ametoa tamko kupitia Facebook ambalo wapenda punyeto huenda wakalifurahia sana. Binafsi sina facts za kisayansi kumpinga ila kulingana na ongezeko la wauza dawa za nguvu...
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili, kwa mfano Mimi...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.
Maana...
Unaweza kulala kitandani, ukamuona mtoto anang’aa, shape imejilaza ila hata kumgusa unashindwa, au hutamani kwa maudhi anayokupa.
Yani utaambulia sifa za watu tu kua mke wako mzuri ila wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.