Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran...
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Unguja, Ayoub Mahamed Mahmoud ameliagiza Jeshi la Polisi ndani ya Mkoa huo kumkamata Msaani wa Bongo fleva Jamillah Abdallah alimarufu Baby J na Mwenzake Maulid...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Jukwaa la mtandao wa kijamii X linasema kuwa sasa litaruhusu rasmi watu kuonyesha maudhui ya watu wazima waliokubaliana, ilimradi tu yameandikwa kuwa ni maudhui ya aina hiyo. Hatua hiyo...
Ndugu zangu Watanzania,
Napowaambia kuwa David Kafulila ni Chuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
WAZIRI BASHUNGWA: FURSA NA MITAJI SEKTA YA UJENZI INAKUJA, KIKUBWA TUWAJIBIKE
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada za kutafuta fedha kupitia...
Zanzibar ni nchi ya kiislamu?
===
Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa...
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar alitekwa na watu wasiyojulikana, wakamshambulia kwa kumkata masikio yote mawili, wakamfunga bandeji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.