Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani. Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
4 Reactions
18 Replies
228 Views
Habari wakuu,mimi ni fundi mwanafunzi japo ndo najiifunza umeme wa magari bado nipo garage , Pia ni dereva mzuri na leseni ninayo class ABD kwahiyo kwa wakazi wa Dodoma anaye hitaji dereva wa...
1 Reactions
1 Replies
148 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
3 Reactions
168 Replies
3K Views
Habari Mabibi na Mabwana. Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kero, Kero hii inihusiana na usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza ( kwa Lulenge hadi Kanisani). Hapo awali usafiri wa...
3 Reactions
14 Replies
156 Views
Kila mnapojaribu kuwafuta Wayahudi, ndivyo wanazidi kuneemeka na kuitawala dunia, ifike mkubali kuishi nao kwa amani, dini inawadanganya, hamtaweza kufuta Wayahudi wapo kote. Haya huyu hapa...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Mkopo Tanzania uliopata huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26. Tanzania...
1 Reactions
5 Replies
109 Views
https://www.youtube.com/watch?v=5WVUdSAIZd4
1 Reactions
5 Replies
51 Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
30 Reactions
73 Replies
1K Views
Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa...
15 Reactions
2K Replies
116K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,046
Posts
49,791,902
Back
Top Bottom