Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii mechi wamepewa kina dada pekee na mwanaume mmoja Tabora ni wananyongwa hadharani na line two Napenda jkt washinde ila sio kwa namna hii
3 Reactions
6 Replies
112 Views
Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa...
6 Reactions
44 Replies
955 Views
Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya...
11 Reactions
24 Replies
304 Views
Mkuu wa Wilaya ya Songea amesema Misaada kutoka Nje ina Masharti magumu na yanayoumiza DC alikuwa anatoa salamu za mkoa kwenye Ibada ya Kanisa Halisi jana Jumapili DC ametoa mfano wa Nchi ya...
2 Reactions
14 Replies
772 Views
Ndugu zangu Watanzania, Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya...
0 Reactions
33 Replies
325 Views
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa...
3 Reactions
91 Replies
2K Views
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine. Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
5 Reactions
28 Replies
451 Views
Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa...
2 Reactions
9 Replies
575 Views
Nimeona niulize hili swali kwa sababu muda huu naangalia mubashara mechi ya mtoano kati ya Tabora United vs JKT. Kilicho nihuzunisha ni maamuzi ya kibabaishaji ya hawa waamuzi wote watatu wa kike...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,165
Posts
49,794,286
Back
Top Bottom