Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hivi karibuni yametolewa matamko mengi kwa watumishi kwamba KATIKA MWAKA huu wa fedha 2023/2024 unaoishia June hii 2024 watumishi wote watawekwa kundi Rika Ili wasitofautiane Madaraja kwa...
Hebu vuta picha Mimi Kiboko ya Jiwe niwe Rais wa Zanzibar lakini wazazi wangu na ndugu zangu wako Makete unadhani ningetokwa na jasho kuwahangahikia Wazanzibar waliokubali kwa makusudi kabisa...
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri
Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia
Nadhani huu ni...
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
Kama kichwa cha habari kisemavyo utafiti mpya uliofanywa na Dr. Kat Bohannon (PhD) wa Columbia University nchini Marekani umebani kuwa mwanaume na viumbe wa jinsia ya kiume jamii ya mamalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.