Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mfahamu Carlos Ray "Chuck" Norris alizaliwa Machi 10, 1940 ni msanii wa michezo ya mapigano wa Marekani na mwigizaji wa filamu. Alitumikia katika Jeshi la anga la Marekani. Alikuwa maarufu kama...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Wazo kuu. Hili wazo mlifanyie kazi, Kwa maslahi mapana ya nchi zetu, ni kweli katiba ya nchi inatambua uhuru wa kuabudu, Lakini serikali kupitia taasisi zake mnafaa kuangazia hilo kwani itasaidia...
2 Reactions
4 Replies
5 Views
Ndugu zangu mnisaidie, kila wakati ile kauli ya yule bwana inanipitia mpaka ndotoni nini maana yake?
3 Reactions
8 Replies
9 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA. Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko. Hivi...
2 Reactions
20 Replies
253 Views
Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya...
0 Reactions
1 Replies
8 Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
21 Reactions
210 Replies
3K Views
  • Poll
Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli...
6 Reactions
24 Replies
497 Views
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti. Bila hivyo! Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
15 Reactions
70 Replies
798 Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
23 Reactions
55 Replies
681 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,030
Posts
49,791,596
Back
Top Bottom