Wakuu samahani
Huwa nachoka sana mwili wangu kila siku zinavyokuja, nmepima kila aina ya gonjwa sugu mnalolifahamu ,sina
Niliachana na aliekuwa mke wangu miaka kadhaa iliyopita kutokana na...
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
Ndugu zangu Watanzania,
Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito...
๐Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi.
๐Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni.
๐Mkakati wa...
Simba ni Azam B. Narudia tena, Simba ni Azam B. Inasemekana, mwenye njaa hachagui chakula. Kumbe, hata timu isiyo na taji, hilazimika kujishikiza popote.
Ona sasa, Simba wanavyohangaika. Mara oh...
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo?
Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka...
Habarini!
Mimi nina swali hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha. Najiskia kuchoka sana. Everyday I must worry about something. Yani matatizo hayaishi. Is this life? Being in constant worry and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.