Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
4 Reactions
27 Replies
143 Views
Salaam, Shalom!! Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri. Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
17 Reactions
64 Replies
960 Views
ili kurejesha uimara wa misuli ya uume wako na kuifanya iwe komavu chukua kanuni hii tafuta asali mbichi ya nyuki wa dogo tafuta unga wa mvunje haltiti tafuta mafuta ya zaituni...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa...
3 Reactions
15 Replies
384 Views
  • Suggestion
Hapa kuna maelezo kuhusu mbinu nne za kisayansi za kukuza sekta ya uvuvi pamoja na mifano ya kila moja: 1. Utafiti wa Mabadiliko ya Mazingira ya Bahari: Utafiti wa kisayansi unaweza kusaidia...
1 Reactions
1 Replies
36 Views
simba has offered gamondi a contract to be their next manager after young Africans season contract ended. gamondi is yet to make decisions. 🤔 😂😂
0 Reactions
12 Replies
202 Views
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe. Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
32 Reactions
110 Replies
2K Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
39 Reactions
119 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,860,089
Posts
49,792,960
Back
Top Bottom