Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi...
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
Naomba kujuzwa wadau hivi kuna haja gani ya kusomba umati wote ule kwenda nao Korea na wakati maisha huko Bongo ni magumu ajabu Nimewashuhudia hapa mpaka mama lishe sijui wa wapi huko, kwa weli...
Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024.
Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri...
Kule X jamaa tayari kafuta taarifa zote za CHADEMA kabakiza hizi.
Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe.
Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo...
Kama nimekosea jukwaa samahanini sana, jioni ya leo nimekutana na mhalifu wangu aliyenitia hasara za hapa na pale.
Sasa kwenye kumwadhibu akawa ananichora tu, amerelax, halii, hacheki, haguni...
Tuongee serious, suala la kupata mwanamke wa kuwanae kwenye mahusiano kwa upande wangu limekua gumu sana hasa baada ya kuvunja uhusiano na mtu.
Sio kwamba domo zege sijui kutongoza ninauwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.