Tuendelee kufundishana.
Wakati mwingine ninaumia ninapoona watu wanaomba na hawapokei kama wanavyotakiwa kupokea, si kwamba Mungu hajakusikia, amekusikia, na atakujibu, ila kuna vitu ambavyo nawe...
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Emmanuel Mkilia amezionya Taasisi na Watu Binafsi wanaotoa Mikopo na kisha kuwadhalilisha Wakopaji ikiwa wameshindwa kurudisha Mikopo...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kweli hii ni maajabu. Vocha iliyoandikwa Tsh. 500 imeanza kuuzwa kwa Tsh. 700 Je, huu ni uungwana, la hasha huu si uungwana. Najaribu kujiuliza kuwa ongezeko hilo la bei limeanzia kwenye viwanda...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema kuwa anaamini kuuawa kwa mamba aliyedaiwa kuwa mkubwa zaidi duniani ni njama na uhujumu uliofanywa na watumishi wasio waaminifu wa Wizara ya Maliasili na...
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine.
Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.